sw_tn/1sa/25/25.md

24 lines
697 B
Markdown

# Taarifa ya jumla
Abigaili anaendelea kumshauri Daudi asilipe kisasi.
# Nakusihi bwana wangu usimjali ... mimi mjakazi wako ... vijana wa bwana wangu ... bwana wangu ... bwana wangu
Abigaili anajizungumzia mwenyewe kwa Daudi kama vile ni watu wawili ili kuonesha heshima kwa Daudi.
# Lakini mimi ... sikuwaona ... uliowatuma
"Lakini kama ... ningewaona ... uliowatuma, Ningewapa chakula"
# kumwaga damu
kuua
# kulipiza kisasi kwa mkono wako mwenyewe
"kulipiza kisasi mwenyewe badala ya kumuachia Bwana afanye"
# adui zako ... wawe kama Nabali
Abigaili anazungumza kama vile Bwana amekwisha muadhibu Nabali. "Natumaini kuwa Bwana atawaadhibu adui zako ... kama atakavyomuadhibu Nabali"