sw_tn/1sa/25/25.md

697 B

Taarifa ya jumla

Abigaili anaendelea kumshauri Daudi asilipe kisasi.

Nakusihi bwana wangu usimjali ... mimi mjakazi wako ... vijana wa bwana wangu ... bwana wangu ... bwana wangu

Abigaili anajizungumzia mwenyewe kwa Daudi kama vile ni watu wawili ili kuonesha heshima kwa Daudi.

Lakini mimi ... sikuwaona ... uliowatuma

"Lakini kama ... ningewaona ... uliowatuma, Ningewapa chakula"

kumwaga damu

kuua

kulipiza kisasi kwa mkono wako mwenyewe

"kulipiza kisasi mwenyewe badala ya kumuachia Bwana afanye"

adui zako ... wawe kama Nabali

Abigaili anazungumza kama vile Bwana amekwisha muadhibu Nabali. "Natumaini kuwa Bwana atawaadhibu adui zako ... kama atakavyomuadhibu Nabali"