sw_tn/1sa/25/01.md

16 lines
515 B
Markdown

# Waisraeli wote wakakusanyika pamoja na kumwomboleza
Hii inawezekana kuwa kizazi. Idadi kubwa ya watu wa Israeli walikuwa labda huko, lakini wengine hawakuweza kuhudhuria.
# wakakusanyika pamoja
wakakutana pamoja
# wakamzika nyumbani kwake huko Rama
Inawezekana maana ni kwamba walimzika Samweli 1) katika mji wake wa Rama au 2) katika ardhi ya familia yake huko Rama lakini si kimwili ndani ya nyumba au 3) nyumbani kwake huko Rama.
# Daudi akainuka na akashuka
"Daudi na watu wake wakaondok na wakashuka"