sw_tn/1sa/25/01.md

515 B

Waisraeli wote wakakusanyika pamoja na kumwomboleza

Hii inawezekana kuwa kizazi. Idadi kubwa ya watu wa Israeli walikuwa labda huko, lakini wengine hawakuweza kuhudhuria.

wakakusanyika pamoja

wakakutana pamoja

wakamzika nyumbani kwake huko Rama

Inawezekana maana ni kwamba walimzika Samweli 1) katika mji wake wa Rama au 2) katika ardhi ya familia yake huko Rama lakini si kimwili ndani ya nyumba au 3) nyumbani kwake huko Rama.

Daudi akainuka na akashuka

"Daudi na watu wake wakaondok na wakashuka"