sw_tn/1sa/24/19.md

543 B

Kwa kuwa mtu akimpata adui yake, atamwacha aende zake salama?

"Kama mtu akimpata adui yake hatamuacha aende salma"

9Kwa kuwa mtu akimpata adui yake, atamwacha aende zake salama?

Sauli alipoamini kuwa Daudi alikuwa adui yake na akatambua kuwa japokuwa Daudi atakuwa mfalme, Daudi hatachukua ufalmetoka kwa Sauli bali atasubiria muda wa Bwana wa kuchaguliwa.

ufalme wa Israeli utaimarika

"Bwana ataimarisha ufalme wa Israeli" au "Ufalme wa Israeli utaimarika"

katika mkono wako

"kwa mamlaka yako" au "kupitia kazi utakazozifanya"