forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
543 B
Markdown
16 lines
543 B
Markdown
|
# Kwa kuwa mtu akimpata adui yake, atamwacha aende zake salama?
|
||
|
|
||
|
"Kama mtu akimpata adui yake hatamuacha aende salma"
|
||
|
|
||
|
# 9Kwa kuwa mtu akimpata adui yake, atamwacha aende zake salama?
|
||
|
|
||
|
Sauli alipoamini kuwa Daudi alikuwa adui yake na akatambua kuwa japokuwa Daudi atakuwa mfalme, Daudi hatachukua ufalmetoka kwa Sauli bali atasubiria muda wa Bwana wa kuchaguliwa.
|
||
|
|
||
|
# ufalme wa Israeli utaimarika
|
||
|
|
||
|
"Bwana ataimarisha ufalme wa Israeli" au "Ufalme wa Israeli utaimarika"
|
||
|
|
||
|
# katika mkono wako
|
||
|
|
||
|
"kwa mamlaka yako" au "kupitia kazi utakazozifanya"
|