forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
322 B
Markdown
8 lines
322 B
Markdown
# umenitendea mema
|
|
|
|
Sauli anakiri kwamba Daudi alionyesha kwamba aliunga mkono Mfalme Sauli na alikuwa mwaminifu kwake kwa kutomwua.
|
|
|
|
# kwa kuwa hukuniua wakati BWANA aliponiweka katika rehema yako
|
|
|
|
Sauli anakubali kwamba Daudi alichagua kuonyesha huruma na alionyesha uaminifu wake kwa Mfalme Sauli kama mafuta ya Bwana.
|