sw_tn/1sa/24/17.md

322 B

umenitendea mema

Sauli anakiri kwamba Daudi alionyesha kwamba aliunga mkono Mfalme Sauli na alikuwa mwaminifu kwake kwa kutomwua.

kwa kuwa hukuniua wakati BWANA aliponiweka katika rehema yako

Sauli anakubali kwamba Daudi alichagua kuonyesha huruma na alionyesha uaminifu wake kwa Mfalme Sauli kama mafuta ya Bwana.