sw_tn/1sa/24/10.md

16 lines
605 B
Markdown

# macho yako yameona
Hapa "macho yako" yanawakilisha Mfalme Sauli. AT "umeona kwa macho yako mwenyewe"
# alivyokuweka mkononi mwangu
Neno "mkono" ni msisitizo ya udhibiti. AT "kukuweka ambapo ningeweza kukuua au kuruhusu kuishi"
# Baba yangu
Sauli hakuwa baba halisi wa Daudi. Daudi anamwita "baba" kuonyesha kwamba anamheshimu Sauli.
# hakuna uovu au uasi katika mkono wangu
Daudi anaongea kama uovu na uasi ni vitu vya kimwili ambavyo angeweza kushikilia mkononi mwake. Hapa "mkono" unawakilisha mtu anayefanya au kufanya kitu fulani. AT "Sikufanya chochote kibaya juu yenu, wala sijui juu yenu"