sw_tn/1sa/24/10.md

605 B

macho yako yameona

Hapa "macho yako" yanawakilisha Mfalme Sauli. AT "umeona kwa macho yako mwenyewe"

alivyokuweka mkononi mwangu

Neno "mkono" ni msisitizo ya udhibiti. AT "kukuweka ambapo ningeweza kukuua au kuruhusu kuishi"

Baba yangu

Sauli hakuwa baba halisi wa Daudi. Daudi anamwita "baba" kuonyesha kwamba anamheshimu Sauli.

hakuna uovu au uasi katika mkono wangu

Daudi anaongea kama uovu na uasi ni vitu vya kimwili ambavyo angeweza kushikilia mkononi mwake. Hapa "mkono" unawakilisha mtu anayefanya au kufanya kitu fulani. AT "Sikufanya chochote kibaya juu yenu, wala sijui juu yenu"