sw_tn/1sa/23/12.md

8 lines
201 B
Markdown

# Daudi akasema
"Daudi aliuliza" au "Daudi aliomba"
# watanisalimisha mimi na watu wangu katika mkono wa Sauli
Hapa "mkono" inawakilisha nguvu au udhibiti. AT "nipe mimi na watu wangu juu ya Sauli"