sw_tn/1sa/23/12.md

201 B

Daudi akasema

"Daudi aliuliza" au "Daudi aliomba"

watanisalimisha mimi na watu wangu katika mkono wa Sauli

Hapa "mkono" inawakilisha nguvu au udhibiti. AT "nipe mimi na watu wangu juu ya Sauli"