sw_tn/1sa/22/16.md

577 B

nyumba ya baba yako

Neno "nyumba" ni kielelezo kwa familia inayoishi ndani ya nyumba. AT "familia ya baba yako" au "wazao wa baba yako"

mlinzi aliyesimama karibu naye

"askari wamesimama karibu ili kumlinda"

Geuka na uwauwe

Hapa "Geuka" ina maana ya kugeuka au ageuka mbali na mfalme. AT "Nenda na kuua" au "Uua"

mkono wake u juu ya Daudi

Neno "mkono" ni msisitizo kwa kazi iliyofanywa kwa mkono. AT "pia wanamsaidia Daudi"

hawakunyoosha mkono wao kuwaua

Neno "mkono" ni msisitizo kwa kazi iliyofanywa kwa mkono. AT"hakufanya chochote kuua" au "kukataa kuua"