sw_tn/1sa/22/16.md

20 lines
577 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nyumba ya baba yako
Neno "nyumba" ni kielelezo kwa familia inayoishi ndani ya nyumba. AT "familia ya baba yako" au "wazao wa baba yako"
# mlinzi aliyesimama karibu naye
"askari wamesimama karibu ili kumlinda"
# Geuka na uwauwe
Hapa "Geuka" ina maana ya kugeuka au ageuka mbali na mfalme. AT "Nenda na kuua" au "Uua"
# mkono wake u juu ya Daudi
Neno "mkono" ni msisitizo kwa kazi iliyofanywa kwa mkono. AT "pia wanamsaidia Daudi"
# hawakunyoosha mkono wao kuwaua
Neno "mkono" ni msisitizo kwa kazi iliyofanywa kwa mkono. AT"hakufanya chochote kuua" au "kukataa kuua"