sw_tn/1sa/21/07.md

505 B

Doegi.......wachungaji

Unaweza kuhitaji kusema wazi kwamba Doegi aliona kile Daudi alichofanya. AT " Doegi ... wachungaji, na aliona kile Ahimeleki alivyofanya"

Doegi

jina la mwanaume

ameshilkiliwa mbele za Bwana

Maana iwezekanavyo ni 1) "kwa kuwa Bwana amemzuia hapo," labda Doeg aliweza kumaliza kufanya kitu alichoahidi Bwana angekifanya (angalia UDB) au 2) hakuna mtu anayejua kwa nini alikuwa huko, "kwa sababu fulani"

wachungaji

watunzaji na walinzi wa kundi, hasa ng'ombe au kondoo