# Doegi.......wachungaji Unaweza kuhitaji kusema wazi kwamba Doegi aliona kile Daudi alichofanya. AT " Doegi ... wachungaji, na aliona kile Ahimeleki alivyofanya" # Doegi jina la mwanaume # ameshilkiliwa mbele za Bwana Maana iwezekanavyo ni 1) "kwa kuwa Bwana amemzuia hapo," labda Doeg aliweza kumaliza kufanya kitu alichoahidi Bwana angekifanya (angalia UDB) au 2) hakuna mtu anayejua kwa nini alikuwa huko, "kwa sababu fulani" # wachungaji watunzaji na walinzi wa kundi, hasa ng'ombe au kondoo