sw_tn/1sa/21/01.md

269 B

Nobu

jina la mahari

Ahimeleki

jina la mtu

kutetemeka

kutetemeka kwa hofu

kwa jambo

"kufanya kazi kwa ajili yake"

Nimewaelekeza vijana kwenda sehemu fulani

"Nimewaambia vijana hao kwenda mahali pengine, nami nitakutana nao hapo baadaye" (Angalia UDB)