# Nobu jina la mahari # Ahimeleki jina la mtu # kutetemeka kutetemeka kwa hofu # kwa jambo "kufanya kazi kwa ajili yake" # Nimewaelekeza vijana kwenda sehemu fulani "Nimewaambia vijana hao kwenda mahali pengine, nami nitakutana nao hapo baadaye" (Angalia UDB)