sw_tn/1sa/20/20.md

20 lines
315 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Yonathani anaendelea kusema na Daudi.
# kwa upande wake
Hapa neno "wake" linamaanisha jiwe ambalo Daudi alikuwa amejificha.
# kijana wangu ... kijana mdogo
Hizi zinarejea mtu huyo huyo.
# Tazama
"Sikiliza" au "Kuwa makini na kile nitakachokuambia"
# ndipo uje
"ndipo wewe, Daudi, uje"