# Sentensi Unganishi Yonathani anaendelea kusema na Daudi. # kwa upande wake Hapa neno "wake" linamaanisha jiwe ambalo Daudi alikuwa amejificha. # kijana wangu ... kijana mdogo Hizi zinarejea mtu huyo huyo. # Tazama "Sikiliza" au "Kuwa makini na kile nitakachokuambia" # ndipo uje "ndipo wewe, Daudi, uje"