sw_tn/1sa/20/17.md

16 lines
469 B
Markdown

# alimpenda kama alivyopenda roho yake mwenyewe
Hapa "roho yake mwenyewe" anajielezea mwenyewe. AT "Yonathani alimpenda Daudi kama alivyojipenda mwenyewe"
# Hautakuwapo
Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "Baba yangu atakukosa"
# wakati shughuli ikifanyika
Hapa "shughuli ikifanyika" ni idiom ambayo inahusu wakati kila kitu kilichotokea. AT "wakati kila kitu kilichotokea"
# jiwe la Ezeli
"Ezeli" ilikuwa jina la jiwe. AT "jiwe ambalo watu huita Ezeli"