sw_tn/1sa/20/17.md

469 B

alimpenda kama alivyopenda roho yake mwenyewe

Hapa "roho yake mwenyewe" anajielezea mwenyewe. AT "Yonathani alimpenda Daudi kama alivyojipenda mwenyewe"

Hautakuwapo

Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "Baba yangu atakukosa"

wakati shughuli ikifanyika

Hapa "shughuli ikifanyika" ni idiom ambayo inahusu wakati kila kitu kilichotokea. AT "wakati kila kitu kilichotokea"

jiwe la Ezeli

"Ezeli" ilikuwa jina la jiwe. AT "jiwe ambalo watu huita Ezeli"