sw_tn/1sa/18/25.md

20 lines
720 B
Markdown

# 'Mfalme haitaji mahari yoyote, isipokuwa govi mia moja
Kitenzi cha maneno ya pili inaweza kutolewa kutoka kwa ya kwanza. AT "Mfalme hataki zawadi yoyote; anahitaji tu kwamba unamletea govi 100"
# govi
"mahali". Katika utamaduni huu, mtu huyo alihitajika kutoa zawadi kwa baba mkwe.
# govi
Neno "govi" linamaanisha ngozi ya kwenye sehemu za siri ambayo inaondolewa wakati wa kutahiriwa.
# ili ajilipize kisasi kwa adui wa mfalme
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "kulipiza kisasi juu ya maadui wa mfalme"
# kumfanya Daudi kuangukia kwenye mikono ya Wafilisti
Hapa "kuanguka" maana yake kufa. Neno "mkono" linawakilisha Wafilisti. Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "Wafilisti kumuua Daudi"