sw_tn/1sa/18/25.md

720 B

'Mfalme haitaji mahari yoyote, isipokuwa govi mia moja

Kitenzi cha maneno ya pili inaweza kutolewa kutoka kwa ya kwanza. AT "Mfalme hataki zawadi yoyote; anahitaji tu kwamba unamletea govi 100"

govi

"mahali". Katika utamaduni huu, mtu huyo alihitajika kutoa zawadi kwa baba mkwe.

govi

Neno "govi" linamaanisha ngozi ya kwenye sehemu za siri ambayo inaondolewa wakati wa kutahiriwa.

ili ajilipize kisasi kwa adui wa mfalme

Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. AT "kulipiza kisasi juu ya maadui wa mfalme"

kumfanya Daudi kuangukia kwenye mikono ya Wafilisti

Hapa "kuanguka" maana yake kufa. Neno "mkono" linawakilisha Wafilisti. Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "Wafilisti kumuua Daudi"