sw_tn/1sa/18/20.md

511 B

Mikali.... alimpenda Daudi

Hapa "kupendwa" maana yake alikuwa na hisia za kimapenzi kwa Daudi.

Akamuambia Sauli

Hapa "wao" inahusisha watu ambao walijua kuhusu hisia za Mikali, si kwa Daudi na Mikali.

hivyo mkono wa Wafilisti pengine uwe juu yake

Kumharibu mtu kunazungumzwa kama kunaweka mtu chini ya mwingine. Hapa, Sauli akimaanisha kumwua Daudi. Tazama jinsi ulivyotafasiri maneno sawa katika 18:17. AT "ili Wafilisti wasimwue"

Wewe utakuwa mkwe wangu

mkwewe - "utakuwa mume wa binti yangu"