Hapa "kupendwa" maana yake alikuwa na hisia za kimapenzi kwa Daudi.
# Akamuambia Sauli
Hapa "wao" inahusisha watu ambao walijua kuhusu hisia za Mikali, si kwa Daudi na Mikali.
# hivyo mkono wa Wafilisti pengine uwe juu yake
Kumharibu mtu kunazungumzwa kama kunaweka mtu chini ya mwingine. Hapa, Sauli akimaanisha kumwua Daudi. Tazama jinsi ulivyotafasiri maneno sawa katika 18:17. AT "ili Wafilisti wasimwue"