sw_tn/1sa/17/55.md

20 lines
389 B
Markdown

# Sauli alipomuona Daudi
Mazungumzo katika 17:55-56 yalitokea kabla Daudi hajamuua Goliati.
# akienda kukabiliana na yule Mfilisti
"akienda kupigana na Mfilisti"
# kijana huyu ni mtoto wa nani
"baba yake na huyu kijana ni nani"
# Kama uishivyo
Hii ni namna ya kuapa na kuonesha kuwa anayotaka kuyasema ni kweli.
# mvulana huyu ni kijana wa nani
"baba yake na kijana huyu ni nani"