sw_tn/1sa/17/55.md

389 B

Sauli alipomuona Daudi

Mazungumzo katika 17:55-56 yalitokea kabla Daudi hajamuua Goliati.

akienda kukabiliana na yule Mfilisti

"akienda kupigana na Mfilisti"

kijana huyu ni mtoto wa nani

"baba yake na huyu kijana ni nani"

Kama uishivyo

Hii ni namna ya kuapa na kuonesha kuwa anayotaka kuyasema ni kweli.

mvulana huyu ni kijana wa nani

"baba yake na kijana huyu ni nani"