forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
600 B
Markdown
24 lines
600 B
Markdown
# Sentensi unganishi:
|
|
|
|
Daudi anaendelea kuaongea na Goliati.
|
|
|
|
# Nitawapa mizoga ... ndege ... na wanyama wa mwituni
|
|
|
|
Daudi anaongea katika kuwaongoza Waisraeli kuwaua Wafilisti na kuacha maiti zao katika ardhi ili wanyama wale. "Tutawaua Wafilisti na ndege wa angani na wanyama wa mwituni watawala"
|
|
|
|
# dunia yote ijue
|
|
|
|
"watu wote wa duniani wajue"
|
|
|
|
# Bwana hatui ushindi kwa upanga wala mkuki
|
|
|
|
Panga na mkuki ni silaha za vita. "Ushindi anaoutoa Bwana hautegemei upanga wala mkuki"
|
|
|
|
# Vita ni ya Bwana
|
|
|
|
"Bwana huwa anashinda vita wakati wote"
|
|
|
|
# atawaweka katika mkono wetu
|
|
|
|
"atatusaidia kuwashinda"
|