sw_tn/1sa/17/46.md

600 B

Sentensi unganishi:

Daudi anaendelea kuaongea na Goliati.

Nitawapa mizoga ... ndege ... na wanyama wa mwituni

Daudi anaongea katika kuwaongoza Waisraeli kuwaua Wafilisti na kuacha maiti zao katika ardhi ili wanyama wale. "Tutawaua Wafilisti na ndege wa angani na wanyama wa mwituni watawala"

dunia yote ijue

"watu wote wa duniani wajue"

Bwana hatui ushindi kwa upanga wala mkuki

Panga na mkuki ni silaha za vita. "Ushindi anaoutoa Bwana hautegemei upanga wala mkuki"

Vita ni ya Bwana

"Bwana huwa anashinda vita wakati wote"

atawaweka katika mkono wetu

"atatusaidia kuwashinda"