forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
383 B
Markdown
20 lines
383 B
Markdown
# nyama yako nitawatupia ndege wa angani na wanyama wa mwituni
|
|
|
|
Goliati anazungumzia kumuua Daudi na kuacha mwili wake chini kwa ajili ya kuliwa na wanyama kama vile kuutoa mwili wa Daudi ili uliwe na wanyama.
|
|
|
|
# Ndege wa angani
|
|
|
|
"ndege"
|
|
|
|
# wanyama wa mwituni
|
|
|
|
"wanyama wa porini"
|
|
|
|
# Kwa jina la Bwana
|
|
|
|
"kwa nguvu ya Bwana" au "kwa mamlaka ya Bwana"
|
|
|
|
# uliyemdharau
|
|
|
|
"uliyemdhihaki"
|