sw_tn/1sa/17/44.md

383 B

nyama yako nitawatupia ndege wa angani na wanyama wa mwituni

Goliati anazungumzia kumuua Daudi na kuacha mwili wake chini kwa ajili ya kuliwa na wanyama kama vile kuutoa mwili wa Daudi ili uliwe na wanyama.

Ndege wa angani

"ndege"

wanyama wa mwituni

"wanyama wa porini"

Kwa jina la Bwana

"kwa nguvu ya Bwana" au "kwa mamlaka ya Bwana"

uliyemdharau

"uliyemdhihaki"