sw_tn/1sa/17/34.md

576 B

Mtumishi wako alikuwa akichunga kondoo za baba yake

Daudi anajizungumzia mwenyewe kama "mtumishi wako" kuonesha heshima kwa Sauli.

alikuwa akichunga kondoo za baba yake

"alikuwa akitunza kondoo wa baba yake"

dubu

Dubu ni mnyama mkubwa mwenye miguu minne lakini anaweza kusimama na miguu miwili kama mtu.

Nilimfukuza na kumshambulia

Hapa anazungumziwa simba au dubu.

na kumpokonya kutoka kinywani mwake

Hapa anazungumziwa mwana kondoo.

aliponirukia

"alinivamia"

nilimshika ndevu zake

"ndevu" zinamuelezea simba au nywele zilizopo katika uso wa dubu.