forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
646 B
Markdown
24 lines
646 B
Markdown
# Hasira ya Eliabu ikawaka moto dhidi ya Daudi
|
|
|
|
Hapa hasira inafananishwa na moto uwakao.
|
|
|
|
# Kwa nini umekuja hapa?
|
|
|
|
Eliabu anatumia swali hili kuonesha kuwa alikuwa na hasira na Daudi.
|
|
|
|
# Wale kondoo wachache umewaacha na nani huko nyikani?
|
|
|
|
Eliabu alitumia swali hili kwa kumdhihaki Daudi kwa kuonesha kuwa kazi yake haikuwa ya muhimu na kumuhukumu kwa kutokuangalia kondoo wa baba yake.
|
|
|
|
# kiburi chako, na utundu wa moyo wako
|
|
|
|
Maneno haya yanaonesha msisitizo.
|
|
|
|
# "Nimefanya nini sasa? Mimi si numeliuliza swali tu?
|
|
|
|
"Sijafanya jambo lolote baya, nilikuwa nauliza swali tuu"
|
|
|
|
# Akamgeukia na kumuacha
|
|
|
|
Hapa Daudi aligeuka na kumuacha Eliabu.
|