sw_tn/1sa/17/28.md

646 B

Hasira ya Eliabu ikawaka moto dhidi ya Daudi

Hapa hasira inafananishwa na moto uwakao.

Kwa nini umekuja hapa?

Eliabu anatumia swali hili kuonesha kuwa alikuwa na hasira na Daudi.

Wale kondoo wachache umewaacha na nani huko nyikani?

Eliabu alitumia swali hili kwa kumdhihaki Daudi kwa kuonesha kuwa kazi yake haikuwa ya muhimu na kumuhukumu kwa kutokuangalia kondoo wa baba yake.

kiburi chako, na utundu wa moyo wako

Maneno haya yanaonesha msisitizo.

"Nimefanya nini sasa? Mimi si numeliuliza swali tu?

"Sijafanya jambo lolote baya, nilikuwa nauliza swali tuu"

Akamgeukia na kumuacha

Hapa Daudi aligeuka na kumuacha Eliabu.