sw_tn/1sa/17/26.md

341 B

kuiondolea Israeli fedheha

"na akaifanya Israeli isifedheheke tena"

Ni nani Mfilisti huyu asiyetahiriwa ayatukanaye majeshi ya Mungu aliye hai?

Daudi alisema maneno haya kuonesha hasira yake kwa Wafilisti wanaolidharau jeshi la Mungu.

Mfilisti huyu asiyetahiriwa

Maneno haya yanaonesha kuwa Goliati hakuwa mtu wa Mungu aliye hai.