# kuiondolea Israeli fedheha "na akaifanya Israeli isifedheheke tena" # Ni nani Mfilisti huyu asiyetahiriwa ayatukanaye majeshi ya Mungu aliye hai? Daudi alisema maneno haya kuonesha hasira yake kwa Wafilisti wanaolidharau jeshi la Mungu. # Mfilisti huyu asiyetahiriwa Maneno haya yanaonesha kuwa Goliati hakuwa mtu wa Mungu aliye hai.