sw_tn/1sa/17/17.md

235 B

Efa

Efa ni kipimo sawa na lita 22.

jemedari kikosi chao cha elfu

Jeshi liligawanyika katika makundi ya watu elfu na kila kundi kilikuwa na jemedari.

Ukawaangalie wako na hali gani

"kaangalie na uone kaka zako wanaendeleaje"