sw_tn/1sa/17/17.md

12 lines
235 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Efa
Efa ni kipimo sawa na lita 22.
# jemedari kikosi chao cha elfu
Jeshi liligawanyika katika makundi ya watu elfu na kila kundi kilikuwa na jemedari.
# Ukawaangalie wako na hali gani
"kaangalie na uone kaka zako wanaendeleaje"