sw_tn/1sa/17/12.md

254 B

alikuwa na watoto wanane

Hapa anazungumziwa Yese.

Yese alikuwa mzee ... mzee mwenye umri mkubwa

Maneno haya yanaonesha msisitizo mkubwa.

aliyemfuata Abinadabu, na watatu aliitwa Shama

"Abinadabu alikuwa mtoto wa pili na Shama alikuwa wa tatu.