sw_tn/1sa/17/12.md

12 lines
254 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# alikuwa na watoto wanane
Hapa anazungumziwa Yese.
# Yese alikuwa mzee ... mzee mwenye umri mkubwa
Maneno haya yanaonesha msisitizo mkubwa.
# aliyemfuata Abinadabu, na watatu aliitwa Shama
"Abinadabu alikuwa mtoto wa pili na Shama alikuwa wa tatu.