sw_tn/1sa/17/08.md

312 B

Kwa nini mmekuja na mmejipanga kwa ajili ya vita?

"kwa nini mmekuja kupigana dhidi yetu?" Goliati alitumia swali hili ili kuwadhihaki Waisraeli.

Mimi si Mfilisti, na ninyi si watumishi wa Sauli?

Goliati alitumia swali hili ili kuwadhihaki Waisraeli. "Mimi ni Mfilisti mkuu na ninyi ni watumishi wa Sauli"