sw_tn/1sa/17/08.md

8 lines
312 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini mmekuja na mmejipanga kwa ajili ya vita?
"kwa nini mmekuja kupigana dhidi yetu?" Goliati alitumia swali hili ili kuwadhihaki Waisraeli.
# Mimi si Mfilisti, na ninyi si watumishi wa Sauli?
Goliati alitumia swali hili ili kuwadhihaki Waisraeli. "Mimi ni Mfilisti mkuu na ninyi ni watumishi wa Sauli"