sw_tn/1sa/16/22.md

20 lines
374 B
Markdown

# Mruhusu Daudi awe mbele yangu
"Kusimama mbele yangu" inamaanisha kuwa aendelee kumtumikia Sauli"
# amepata kibali machoni pangu
"Nimependezwa naye"
# Roho ya ubaya kutoka kwa Bwana.
"roho ya ubaya" ni "roho inayosababisha matatizo"
# kiwapo juu ya Sauli
Ikamsumbua Sauli"
# Sauli angeburudishwa na kupona
"Muziki ungemfurahisha Sauli na kumfanya ajisikie vizuri"