sw_tn/1sa/16/22.md

374 B

Mruhusu Daudi awe mbele yangu

"Kusimama mbele yangu" inamaanisha kuwa aendelee kumtumikia Sauli"

amepata kibali machoni pangu

"Nimependezwa naye"

Roho ya ubaya kutoka kwa Bwana.

"roho ya ubaya" ni "roho inayosababisha matatizo"

kiwapo juu ya Sauli

Ikamsumbua Sauli"

Sauli angeburudishwa na kupona

"Muziki ungemfurahisha Sauli na kumfanya ajisikie vizuri"