sw_tn/1sa/16/17.md

12 lines
226 B
Markdown

# mwenye nguvu, mtu jasiri
Yaweza kuwa na maana ya 1) "shujaa" au 2) "mtu mwenye hekima"
# mwenye busara aongeapo
"anayeongea kwa busara"
# Bwana yuko pamoja naye
Hii inamaanisha kuwa Bwana alimsaidia na kumbariki Daudi.