sw_tn/1sa/16/14.md

378 B

Basi

Hapa msimuliaji anaanza kutuambia sehemu mpya ya simulizi.

roho ya ubaya kutoka kwa Bwana

"roho ya ubaya" ni "roho inayosababisha matatizo"

Haya bwana wetu hebu sasa amuru

Watumishi wanamchukulia Sauli kama bwana wao.

amuru watumishi wako walio mbele yako wamtafute

"tuamuru sisi watumishi wako tunaokutumikia tumtafute"

yuko juu yako

"anakusumbua wewe"