sw_tn/1sa/16/14.md

20 lines
378 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Basi
Hapa msimuliaji anaanza kutuambia sehemu mpya ya simulizi.
# roho ya ubaya kutoka kwa Bwana
"roho ya ubaya" ni "roho inayosababisha matatizo"
# Haya bwana wetu hebu sasa amuru
Watumishi wanamchukulia Sauli kama bwana wao.
# amuru watumishi wako walio mbele yako wamtafute
"tuamuru sisi watumishi wako tunaokutumikia tumtafute"
# yuko juu yako
"anakusumbua wewe"