sw_tn/1sa/16/01.md

311 B

Utamlilia Sauli kwa muda gani, ikiwa nimemkataa asiwe mfalme juu ya Israeli?

"Acha kumlilia Sauli niliyemkataa asiwe mfalme juu ya Israeli"

Ijaze pembe yako mafuta

Pembe ilitumika mara nyingine kama chupa. Chupa ya mafuta ilitumika kwa ajili ya kumpaka mafuta mfalme, kama Samweli alivyofanya kwa Daudi.