sw_tn/1sa/16/01.md

8 lines
311 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Utamlilia Sauli kwa muda gani, ikiwa nimemkataa asiwe mfalme juu ya Israeli?
"Acha kumlilia Sauli niliyemkataa asiwe mfalme juu ya Israeli"
# Ijaze pembe yako mafuta
Pembe ilitumika mara nyingine kama chupa. Chupa ya mafuta ilitumika kwa ajili ya kumpaka mafuta mfalme, kama Samweli alivyofanya kwa Daudi.